Saturday, 27 February 2016

HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA
1.     SIKU 1.
 Baada ya vifaranga kutotoreshwa wenye siku moja,vifranga wapewe glucose kwa muda wa masaa 2.Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa.baada ya hapo vifaranga wapewe vitamin mfano ni CHAMPRIX.Pia hii huchanganywa na maji.vifaranga wawe katika eneo lenye joto na safi. Baada ya hapo siku ya pili na kuendelea vifanga wapewe OTC plus(kijiko kimoja cha chai katika lita 5 za maji safi,pia changanya vitamin.

2.       SIKU YA 7.
vifaranga wapatiwe chanjo ya NEWCASTLE (KIDELI).chanjo hii huchanganywa na maji safi katika eneo lenye kivuli kasha kupewa vifaranga kwa muda wa masaa mawili kisha toa maji hayo na kuyamwaga mbali na eneo ambalo kuku wengine wanaweza kuyafikia,au kuyachimbia.baada ya hapo vifaranga wapewe maji yenye vitamin

mfano wa vifaranga wenye wiki moja(siku saba).Hawa wamepata chanjo ya newcastle na kama utakavyoona katika video hapa chini vifaranga wamechangamka.

3.     SIKU YA 14.
Wapewe chanjo ya GUMBORO(IBD).chanjo hii pia huchanganywa katika maji na kupewe vifaranga kwa muda wa masaa mawili tu.baada ya hapo vifaranga wepewe vitamin.

4.     Siku ya 21.(wiki ya tatu)
Rudia chanjo ya Newcastle

5.     SIKU 28(mwezi)
Rudia chanjo ya GUMBORO IBD

6.     SIKU 35(mwezi 1 na wiki 1)
Kipindi hiki kuku wapewe vitamin ya kutosha.

7.     WIKI YA 6-8
KUKU wapatiwe kinga ya ndui (fowl pox).kinga hii sio rahisi kwa mfugaji asie na utaalam kuwapa kuku,tafta mtaalum kwa kazi hii au upate maeleze ya jinsi ya kuweka kinga hii.
8.    WIKI YA 8
Kuku wapatiwe dawa ya minyoo na baada ya hapo unaweza kurudia chanjo ya Newcastle

2 comments:

  1. ni maelekezo mazuri, lkn nataka kujua kwa nini vifaranga wanapatwa ugonjwa wa ndui wakiwa na wiki1 au 2, wakati ratiba yako inaonesha wapewe wiki ya 6-8?.

    ReplyDelete

watembeleaji

A visitor from Rostov-on-don viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 12 hrs 9 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU ~ fahamu uleaji wa kuku' 1 day 4 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'PATA VIFARANGA CHOTARA,ANZA KUFUGA LEO ~ fahamu ul' 1 day 5 hrs ago
A visitor from Mwanza viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 5 hrs ago
A visitor from Singida viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 2 days 1 hr ago
A visitor from Arusha viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 3 days 12 hrs ago
A visitor from St petersburg viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 3 days 12 hrs ago
A visitor from Mwanza viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 3 days 14 hrs ago
A visitor from Bauchi viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 3 days 16 hrs ago
A visitor from Moscow viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 21 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>