Thursday, 27 October 2016

Habari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia.  Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi kulinganisha na kuku 100% asili.kuku chotara hutaga mayai 220-280 kwa mwaka kulingana na ubora wa chakula na mfumo mzima wa ufugaji. Tetea wa chotara hula kiasi cha...

Wednesday, 26 October 2016

Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo huchangiwa na magonjwa haya. Dalili hizo kwa ujumla ni kama ifuatavyo 1.Kuku kupoteza hamu ya kula 2.Kuku kuzubaa na kukaa sehemu moja kwa muda mrefu 3.Kushuka kwa kiwango cha utagaji 4.Vifaranga kudumaa 5.Macho kua mekundu 6.Kujikunja shingo 7.Kutetemeka,kutoa maji...
Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani. Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratiba hii ya chakula Chick starter kwa muda wa miezi miwili(2) Grower Mash kwa muda wa miezi miwili na nusu(2.5) Layers mwezi mmoja na kuendelea. Ili kuku...

watembeleaji

A visitor from Gatchina viewed 'Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa ku' 48 mins ago
A visitor from Virginia viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 hrs 20 mins ago
A visitor from California viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 hrs 20 mins ago
A visitor from Iowa viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 hrs 20 mins ago
A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 1 day ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'NJIA ASILIA ZA KUTIBU KUKU ~ fahamu uleaji wa kuku' 1 day 14 hrs ago
A visitor from Terre haute viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 3 days 9 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 3 days 9 hrs ago
A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 3 days 17 hrs ago
A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 4 days 8 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>