Habari za wakati huu wapenzi wasomaji wetu,Leo ningependa kutoa mawazo yangu kuhusu suala la kilimo nchini.
Tanzania ni nchi maskini,uchumi wa nchi hii unategemea zaidi kilimo.Kilimo huchangia asilimia 50 ya pato la ndani la nchi hii.Kumekua na jitihada mbalimbali za kuendeleza sekta hii ya kilimo nchini ikiwemo sera iliyo sikika sana ya "KILIMO KWANZA" .Jitihadi hizi zimeweza kufanikiwa kwa kiasi fulani ila kwa kiasi fulani bado uzalishaji wa malighafi...
Tuesday, 1 November 2016
Thursday, 27 October 2016
22:25
kukutajiri
5 comments

Habari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia.
Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi kulinganisha na kuku 100% asili.kuku chotara hutaga mayai 220-280 kwa mwaka kulingana na ubora wa chakula na mfumo mzima wa ufugaji.
Tetea wa chotara hula kiasi cha...
Wednesday, 26 October 2016
22:11
kukutajiri
No comments
Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi
ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa
mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo
huchangiwa na magonjwa haya.
Dalili hizo
kwa ujumla ni kama ifuatavyo
1.Kuku
kupoteza hamu ya kula
2.Kuku
kuzubaa na kukaa sehemu moja kwa muda mrefu
3.Kushuka
kwa kiwango cha utagaji
4.Vifaranga
kudumaa
5.Macho
kua mekundu
6.Kujikunja
shingo
7.Kutetemeka,kutoa
maji...
22:04
kukutajiri
9 comments

Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani.
Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratiba hii ya chakula
Chick starter kwa muda wa miezi miwili(2)
Grower Mash kwa muda wa miezi miwili na nusu(2.5)
Layers mwezi mmoja na kuendelea.
Ili kuku...
Friday, 11 March 2016
09:05
kukutajiri
No comments

Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi
ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa
mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo
huchangiwa na magonjwa haya.
Dalili hizo
kwa ujumla ni kama ifuatavyo
1.
Kuku
kupoteza hamu ya kula
2.
Kuku
kuzubaa...
Saturday, 27 February 2016

NENO LA USHAWISHI.......JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa
habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni vipi unatumia muda wako baada ya masomo au kazi???umewahi kupata wazo la biashara??kama umewahi kupata wazo la biashara au la kukuingizia kipato ni kwanini...
08:38
kukutajiri
2 comments
HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA
1. SIKU 1.
Baada ya vifaranga kutotoreshwa
wenye siku moja,vifranga wapewe glucose kwa muda wa masaa 2.Glucose
huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa.baada ya hapo vifaranga
wapewe vitamin mfano ni CHAMPRIX.Pia hii huchanganywa na maji.vifaranga wawe
katika eneo lenye joto na safi. Baada ya hapo siku ya pili na kuendelea vifanga
wapewe OTC plus(kijiko kimoja cha chai katika...
Subscribe to:
Posts (Atom)