Monday, 27 February 2017

Habari wapenzi wasomaji wetu,Leo napenda kuwaletea biashara ya vifaranga wa kuku chotara.Vifaranga wa mwezi mmoja wakiwa na chanjo kama
1.NEWCASTLE
2.GUMBORO
3. NDUI,

Pia wanunuzi wa vifaranga watapewa semina fupi kabla ya kupewa vifaranga.

Picha ya hapa chini ni baadhi ya vifaranga chotara wakina na mwezi mmoja.

Picha ya hapa chini ni vifaranga wa siku moja

Vifaranga hapa chini ni vifaranga wa wiki moja

 Wafugaji kutoka KUKUTAJIRI katika kazi ya ukusanyaji mayai kwaajili ya kwenda kutotolesha,je unajua sifa ya mayai bora kwaajili ya kutotolesha?endelea kufuatilia mtandao wetu utajifunza sifa hizo.

hapa chini ni kuku walezi kwaajili ya utagaji mayai ili yakatotoleshwe 

hapa chini ni aina ya jogoo kutoka kukutajiri.

kuku wazazi wakipewa chakula na wafugaji kutoka kukutajiri

bei ya vifaranga ni;
VIFANGA WA MWEZI NI TSH 4000/=
VIFARANGA WA SIKU NI TSH 2000/=
wasiliana nasi kwa namba 0719342444 au 0718616834

Related Posts:

  • Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa kujua dalili hizo.. Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo huchangiwa na mag… Read More
  • TANZANIA YA KILIMO,VIJANA TURUDI MASHAMBANIHabari za wakati huu wapenzi wasomaji wetu,Leo ningependa kutoa mawazo yangu kuhusu suala la kilimo nchini. Tanzania ni nchi maskini,uchumi wa nchi hii unategemea zaidi kilimo.Kilimo huchangia asilimia 50 ya pato la ndani la … Read More
  • KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKEHabari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia.  Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi kulinganisha na kuku… Read More
  • JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga.zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga. 1.MAANDALIZI YA BANDA banda ni jambo la kwanza… Read More
  • PATA VIFARANGA CHOTARA,ANZA KUFUGA LEOHabari wapenzi wasomaji wetu,Leo napenda kuwaletea biashara ya vifaranga wa kuku chotara.Vifaranga wa mwezi mmoja wakiwa na chanjo kama 1.NEWCASTLE 2.GUMBORO 3. NDUI, Pia wanunuzi wa vifaranga watapewa semina fupi kabla ya k… Read More

0 comments:

Post a Comment

watembeleaji

A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 2 hrs 44 mins ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 7 hrs 52 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 8 hrs ago
A visitor from Gauteng viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 2 days 3 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 3 hrs ago
A visitor from Nuremberg viewed '2015 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 18 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 1 hr ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 22 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'sifa za mayai bora kwaaajili ya kutotolesha katika' 8 days 9 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 8 days 22 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>