Sunday, 27 August 2017

Habari za wakati huu wasoma na wafuatiliaje wa mtandao wetu unaolenga katika kuelimisha watu hasa vijana katika ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara,Hivi karibuni watu wengi wamekua wakilalamika juu ya utotoleshaji mbovu wengi wamekua wikidhani ni mashine za kutotolesha,lakini tatizo kubwa ni sisi wafugaji kushindwa kutunza mayai vizuri,Hapa chini ni maelezo ya namna bora ya kutunza mayai kwaajili ya kutotolesha.

MAMBO MUHIMU KWA  YAI KUWEZA KUTOTOLESHWA
·        

       Yai lisizidi siku 7 mpaka 8 tangu litagwe

·        

Mayai yahifadhiwe kwenye trei yakitoka kuokotwa bandani

·         Zingatia Uwiano mzuri wa majogoo kwa matetea (1:8-10)

·         Mayai ya mtago wa kwanza sio mazuri kwa kutotolesha

·         Mayai ya kuku mzee sio mazuri kwa kutotolesha

·         Kuku watagaji wanapaswa kupewa chakula bora na cha kutosha

·         Mayai yahifadhiwe sehemu isio na joto kali

·         Mayai machafu hayafai kwa kutotolesha

·         Mayai madogo sana hayafai kwa kutotolesha

·         Mayai yenye kreki(nyufa)hayafai kwa kutotolesha

·         Mayai yenye umbo kubwa sana hayafai kwa kutotolesha

·         Mayai yenye viini viwili hayafai kwa kutotolesha

·         Yai lisihifadhiwe kwenye friji(hifadhi sehemu yenye hewa ya kutosha na isio na joto)

·         Wakati unahifadhi mayai katika trei hakikisha sehemu ya yai iliyochongoka inaangalia chini

·         Tengeneza viota kwaajili ya kuku kutagia ili kuepusha mayai yalio machafu.

KWA MAWASILIANO TUPIGIE KWA NUMBER ZIFUATAZO
0719342444/0788337971

0718616834

Related Posts:

  • NJIA ASILIA ZA KUTIBU KUKU ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.katika chapisho hili tutaangalia njia za asilia za kutibu kuku kwa kutumia shubiri mwitu na majani ya mpapai. SHUBIRI MWITU NA JINSI YA KUIANDAA Tafta majani kadhaa ya shubiri mwitu… Read More
  • magonjwa ya kuku na jinsi ya kuyadhibiti habari za wakati huu wapendwa wafugaji na wasio wafugaji,wasomi wa machapisho yetu kwa ujumla.katika toleo hili tunachambua magonjwa mbalimbali ya kuku.magonjwa ya kuku husabibishwa na vitu mbali mbali ikiwemo virusi,min… Read More
  • JE WAJUA RATIBA YA CHANYO YA KUKU ASILIA/BROILERS??soma hapaaa HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA 1.     SIKU 1.  Baada ya vifaranga kutotoreshwa wenye siku moja,vifranga wapewe glucose kwa muda wa masaa 2.Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa… Read More
  • AINA ZA KUKU WA KIENYEJIHabari ndugu wasomaji wetu,leo tutachambua aina kadhaa za kuku wa kienyeji.Duniani kuna aina karibia 300 za kuku.katika toleo hili tutatazamia aina&nb… Read More
  • KUTOTORESHA VIFARANGA Habari za wakati huu wafuatiliaje wa machapisho yetu.Leo tutatazamia njia kuu mbili za kutotoresha mayai ya kuku wa kienyeji,njia hizo ni kumuacha kuku kutotoa mwenyewe na kumuwekea mazingira.njia ya pili ni kwa kutumia mash… Read More

0 comments:

Post a Comment

watembeleaji

A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 5 hrs 40 mins ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 10 hrs 48 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 11 hrs ago
A visitor from Gauteng viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 2 days 6 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 6 hrs ago
A visitor from Nuremberg viewed '2015 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 21 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 4 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 8 days 1 hr ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'sifa za mayai bora kwaaajili ya kutotolesha katika' 8 days 12 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 9 days 1 hr ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>