Wednesday, 26 August 2015

Habari ndugu wasomaji wetu,leo tutachambua aina kadhaa za kuku wa kienyeji.Duniani kuna aina karibia 300 za kuku.katika toleo hili tutatazamia aina kubwa tatu za kuku wa kienyeji kibiashara.

1.KUCHI(rhode island)
kuku hawa wana sifa ya kutaga sana mayai na hawasumbuliwi sana na magonjwa pia hua na umbo kubwa sana.

2.CHOTARA(cross hybrid breeds)
Kuku hawa ni wakubwa na wanauzito mkubwa.kuku hawa ni wazuri kwa nyama lakini pia hutaga mayai mengi(10-13) kwa kuku mmoja.(hii si kwa siku moja ni katika mzunguko wa utagaji).kuku hawa ni wazuri kwa biashara huuzwa kuanzia 18,000/= mpaka 25000/= kutokana na mfugaji.

3.KUKU MALAWI 
Kuku hawa ni weusi na pia hua na maumbo makubwa sana,na wanasifa moja ya kutaga mayai mengi sana kuliko kuku wengine.

USIKOSE KUTEMBELEA BLOG YETU KUJUA ZAIDI KUHUSU KUKU WA KIENYEJI

shukrani za dhati.

Related Posts:

1 comment:

watembeleaji

A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 1 hr 50 mins ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 6 hrs 58 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 7 hrs ago
A visitor from Gauteng viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 2 days 2 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 2 hrs ago
A visitor from Nuremberg viewed '2015 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 17 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 21 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'sifa za mayai bora kwaaajili ya kutotolesha katika' 8 days 9 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 8 days 21 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>