
SEHEMU YA KWANZA
Tumerahisisha zaidi maelezo
na kuifanya iakisi mazingira harisi ya mfugaji wa kitanzania
Hydroponic ni nini?
Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa
virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua
siku 6 hadi tisa kukamilika.
Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za
majani na mizizi.
Faida...