
SIFA ZA BANDA BORA.
Katika mazingira yetu ya kawaida kuku hutaga
katika viota na kupumzika katika vivuli na kutumia mda mwingine kujitafutia chakula. Kuku hutumia muda wake mwingi katika kujitafutia chakula katika ardhi na
sehemu za chakula.Katika ufugaji wetu wa asili kuku hufungiwa katika nyumba zao
nyakati za usiku na kufunguliwa asubuhi ila wakajitafutie chakula,Baadhi...