Saturday, 27 February 2016

NENO LA USHAWISHI.......JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa

habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni vipi unatumia muda wako baada ya masomo au kazi???umewahi kupata wazo la biashara??kama umewahi kupata wazo la biashara au la kukuingizia kipato ni kwanini hujaanza mpaka wakati huu???...MAWAZOO.......MAWAZOOO...Mawazo ni mazuri lakini yakifanyiwa kazi,mawazo yasipo fanyiwa kazi hakika kijana mwenzangu utabaki kuvusha tuu na kutamania maisha ya watu wengine.SIRI,siri ya mafanikio yoyote ni kufanya kazi,usiogope mtu mwenyewe mawazo makubwa,ila mheshimu sana mtu anaefanyia kazi mawazo yake.Hivyo siri ni moja,KUFANYA KAZI NA KUJITUMA KATIKA KILA JAMBO UFANYALO.

Hebu nikupe wazo hili leo,ushawahi kuwaza kufuga kuku wa asili au hata kisasa?biashara ya kuku kama zilivyo biashara nyingine ni biashara yenye faida kubwa kwa mfugaji.
KUKU WA KIENYEJI,Huweza kufugwa kwa gharama ndogo,kama ilivyo andikwa katika matoleo yetu yaliopita juu ya faida ya kuku hawa,JE kijana umewahi kuhamasika kufanya kitu hiki?kwanini usijaribu leo?Anza leo,ukishindwa mara ya kwanza usiwaze kushindwa tena.
TAZAMA PICHA ZA VIDEO HIII
BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO HII
 
1 comment:

  1. thank you for your motivation and nice video God bless you.

    ReplyDelete

watembeleaji

A visitor from Dar es salaam viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 23 hrs 45 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 1 day 2 hrs ago
A visitor from Mbeya viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 10 hrs ago
A visitor from Gatchina viewed 'jifunze kutengeneza chakula cha kuku,nguruwe,na ng' 1 day 20 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 4 hrs ago
A visitor from Ondo viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 20 hrs ago
A visitor from Enugu viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 20 hrs ago
A visitor from Bauchi viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 4 days 8 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 days 3 hrs ago
A visitor from Dublin viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 days 5 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>