Friday, 11 March 2016

Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo huchangiwa na magonjwa haya.
 Dalili hizo kwa ujumla ni kama ifuatavyo

1.   
     Kuku kupoteza hamu ya kula
2.        Kuku kuzubaa na kukaa sehemu moja kwa muda mrefu
3.        Kushuka kwa kiwango cha utagaji

4.        Vifaranga kudumaa
5.        Macho kua mekundu
6.        Kujikunja shingo
7.        Kutetemeka,kutoa maji maji puani,mdomoni na machoni
8.        Kutoa kinyesi chenye rangi ya kijani,au kinyesi kilicho changanyika na damu au cheupe.
9.        Kukohoa
10.     Kukonda

Endapo kuku wako ataonesha mojawapo ya dalili hizo basi mfugaji itamlazimu kutafta daktari wa mifugo au  kuku wapatiwe dawa.kujua madawa mbali mbali ya tazama post nyingine katika blog hii.Pia unaweza kufatilia mambo mbalimbali kuhusu kuku kupitia ukurasa wetu wa INSTAGRAM kwa jina la kukutajiri.

0 comments:

Post a Comment

watembeleaji

A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 6 hrs 19 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 11 hrs 5 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'jifunze kutengeneza chakula cha kuku,nguruwe,na ng' 12 hrs 11 mins ago
A visitor from Kigoma viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 15 hrs 36 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'magonjwa ya kuku na j***i ya kuyadhibiti ~ fahamu ' 1 day 9 hrs ago
A visitor from Tanga viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 1 day 13 hrs ago
A visitor from Gatchina viewed 'Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa ku' 2 days 2 hrs ago
A visitor from Virginia viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 7 hrs ago
A visitor from California viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 7 hrs ago
A visitor from Iowa viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 7 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>