Wednesday, 26 October 2016

Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani.

Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratiba hii ya chakula

Chick starter kwa muda wa miezi miwili(2)
Grower Mash kwa muda wa miezi miwili na nusu(2.5)
Layers mwezi mmoja na kuendelea.

Ili kuku wafugwe kwaajili ya nyama fuata ratiba hii ya chakula

Broiler starter-mwezi mmoja(1)
Grower Mash-Mwezi mmoja(1) 
Broiler Finisher-Mwezi mmoja(1)

Ili kuku wafugwe na kutaga mayai kwaajili kutotolesha fuata ratiba hii ya chakula

Chick Starter-miezi miwili(2)
Grower mash-miezi miwili na nusu(2.5)
Breeders mash-mwezi mmoja na kuendelea.hakikisha majogoo wanapunguzwa na kubaki na uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea kumi(1:10)

Ratiba hii ni kwa ufugaji wa kibiashara lakin mfugaji anaweza kuwafuga kuku hawa kwa mfumo wa nusu huria yaani kuku akaachiwa ajitaftie chakula na kisha atapewa chakula na mfugaji.Pia kuku hawa huweza kufugwa huriaa yaani akaachwa kujitaftia chakula chake.

picha hapo juu ni vifaranga wa wiki moja baada ya kulishwa chick starter.

9 comments:

  1. Je Hawa kuku chotara ni sahihi kuwaacha mchana nje ya banda ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni sahihi kabisa lakini hakikisha ulizi upo ili kuepusha kuibiwa kwa kuku wako,kuku hawa ukiwaacha nje wanaweza kujitafia chakula

      Delete
  2. ni sahihi kabisa hakikisha ulinzi upo kaika eneo hilo ili kuepusha wizi wa kuku wako.

    ReplyDelete
  3. Nahitaji elimu zaid kuhusu ufugaji wa kuku

    ReplyDelete
  4. Kuna effect gani ukiwapa chotara broiler starter?

    ReplyDelete
  5. Kuku mmoja anakula kiasi gani kwa siku kroila

    ReplyDelete

watembeleaji

A visitor from Nizhniy novgorod viewed 'Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa ku' 4 hrs 19 mins ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa ku' 4 hrs 20 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 23 hrs 48 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 14 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 18 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'jifunze kutengeneza chakula cha kuku,nguruwe,na ng' 2 days 19 hrs ago
A visitor from Kigoma viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 23 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'magonjwa ya kuku na j***i ya kuyadhibiti ~ fahamu ' 3 days 16 hrs ago
A visitor from Tanga viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 3 days 21 hrs ago
A visitor from Gatchina viewed 'Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa ku' 4 days 10 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>