Kuku asie na afya huonesha
hizi dalili.
l kuku huchoka na kupoteza furaha
l macho yaliofifi na upanga legevu
l Hulala na kusinzia wakati wote
l Hula na kunywa kidogo
l Hupunguza kutaga mayai
l Hushusha manyoya na manyoya hutimka
l Kinyesi chenye maji maji
na mara nyingine damu au minyoo
l Kuku hukohoa na kupumua kwa
tabu s...
Saturday, 30 September 2017
Wednesday, 27 September 2017
01:47
kukutajiri
No comments
Mapungufu ya Kuku wa Asili:
• Hutaga mayai madogo wastani wa gramu 47 ambapo kuku wa kisasa wastani wa gramu 55,aidha hutaga mayai machache wastani wa mayai 60 kwa mwaka ambapo kuku wa kisasa huweza kutaga hadi mayai 300 kwa mwaka.(CHOTARA NA KROILERS HUTAGA MAYAI 240-260 KWA MWAKA)
• Ukuaji taratibu – kuku wa asili hukua taratibu kutokana na lishe duni. Kutokana na hali hiyo kuku
• huchukua muda mrefu (miezi sita) kufikia uzito wa kuchinjwa (kilo...
Sunday, 27 August 2017
05:05
kukutajiri
No comments

Habari za wakati huu wasoma na wafuatiliaje wa mtandao wetu unaolenga katika kuelimisha watu hasa vijana katika ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara,Hivi karibuni watu wengi wamekua wakilalamika juu ya utotoleshaji mbovu wengi wamekua wikidhani ni mashine za kutotolesha,lakini tatizo kubwa ni sisi wafugaji kushindwa kutunza mayai vizuri,Hapa chini ni maelezo ya namna bora...
Wednesday, 7 June 2017
06:14
kukutajiri
No comments

SIFA ZA BANDA BORA.
Katika mazingira yetu ya kawaida kuku hutaga
katika viota na kupumzika katika vivuli na kutumia mda mwingine kujitafutia chakula. Kuku hutumia muda wake mwingi katika kujitafutia chakula katika ardhi na
sehemu za chakula.Katika ufugaji wetu wa asili kuku hufungiwa katika nyumba zao
nyakati za usiku na kufunguliwa asubuhi ila wakajitafutie chakula,Baadhi...
Wednesday, 31 May 2017
07:26
kukutajiri
2 comments

SEHEMU YA KWANZA
Tumerahisisha zaidi maelezo
na kuifanya iakisi mazingira harisi ya mfugaji wa kitanzania
Hydroponic ni nini?
Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa
virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua
siku 6 hadi tisa kukamilika.
Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za
majani na mizizi.
Faida...
Monday, 27 February 2017
11:09
kukutajiri
No comments

Habari wapenzi wasomaji wetu,Leo napenda kuwaletea biashara ya vifaranga wa kuku chotara.Vifaranga wa mwezi mmoja wakiwa na chanjo kama
1.NEWCASTLE
2.GUMBORO
3. NDUI,
Pia wanunuzi wa vifaranga watapewa semina fupi kabla ya kupewa vifaranga.
Picha ya hapa chini ni baadhi ya vifaranga chotara wakina na mwezi mmoja.
Picha ya hapa chini ni vifaranga wa siku moja
Vifaranga...
Tuesday, 1 November 2016
05:20
kukutajiri
No comments
Habari za wakati huu wapenzi wasomaji wetu,Leo ningependa kutoa mawazo yangu kuhusu suala la kilimo nchini.
Tanzania ni nchi maskini,uchumi wa nchi hii unategemea zaidi kilimo.Kilimo huchangia asilimia 50 ya pato la ndani la nchi hii.Kumekua na jitihada mbalimbali za kuendeleza sekta hii ya kilimo nchini ikiwemo sera iliyo sikika sana ya "KILIMO KWANZA" .Jitihadi hizi zimeweza kufanikiwa kwa kiasi fulani ila kwa kiasi fulani bado uzalishaji wa malighafi...
Subscribe to:
Posts (Atom)