Wednesday, 26 August 2015

Habari ndugu wasomaji wetu,leo tutachambua aina kadhaa za kuku wa kienyeji.Duniani kuna aina karibia 300 za kuku.katika toleo hili tutatazamia aina kubwa tatu za kuku wa kienyeji kibiashara.

1.KUCHI(rhode island)
kuku hawa wana sifa ya kutaga sana mayai na hawasumbuliwi sana na magonjwa pia hua na umbo kubwa sana.

2.CHOTARA(cross hybrid breeds)
Kuku hawa ni wakubwa na wanauzito mkubwa.kuku hawa ni wazuri kwa nyama lakini pia hutaga mayai mengi(10-13) kwa kuku mmoja.(hii si kwa siku moja ni katika mzunguko wa utagaji).kuku hawa ni wazuri kwa biashara huuzwa kuanzia 18,000/= mpaka 25000/= kutokana na mfugaji.

3.KUKU MALAWI 
Kuku hawa ni weusi na pia hua na maumbo makubwa sana,na wanasifa moja ya kutaga mayai mengi sana kuliko kuku wengine.

USIKOSE KUTEMBELEA BLOG YETU KUJUA ZAIDI KUHUSU KUKU WA KIENYEJI

shukrani za dhati.

Related Posts:

  • Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa kujua dalili hizo.. Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo huchangiwa na mag… Read More
  • JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga.zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga. 1.MAANDALIZI YA BANDA banda ni jambo la kwanza… Read More
  • RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani. Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratib… Read More
  • NENO LA USHAWISHINENO LA USHAWISHI.......JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni vi… Read More
  • DALILI ZA JUMLA ZA KUKU Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo huchangiwa na mago… Read More

1 comment:

watembeleaji

A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 13 hrs 38 mins ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'NJIA ASILIA ZA KUTIBU KUKU ~ fahamu uleaji wa kuku' 1 day 3 hrs ago
A visitor from Terre haute viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 22 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 22 hrs ago
A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 3 days 6 hrs ago
A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 3 days 21 hrs ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 4 days 3 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 days 3 hrs ago
A visitor from Gauteng viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 5 days 22 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 22 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>