Thursday, 27 October 2016

Habari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia.
 Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi kulinganisha na kuku 100% asili.kuku chotara hutaga mayai 220-280 kwa mwaka kulingana na ubora wa chakula na mfumo mzima wa ufugaji.

Tetea wa chotara hula kiasi cha 6.8kg kwa muda wa miezi mitano na kuweza kufikia uzito wa 1.8kg kwa kipindi hicho.

Jogoo chotara huweza hula kiasi cha 6.8kg kwa muda wa miezi mitano na kuweza kufikia uzito wa 2.6 kwa muda huo.

Matetea chotara huanza kutaga ndani ya muda wa miezi mitano mpaka sita kutegemea na utunzaji na vyakula wanavyopewe.

Ili kuku hawa watage sana wanatakiwa kula angalau 122g kwa siku za chakula kizuri ili kuweza kutaga kwa muda mrefu.
Kuku hawa wataanza tabia ya kudonoana kama wasipopewa chakula kizuri na chenye virutubisho vya kutosha pamoja na madini.Kuku hawa hudonoana sana na wakati mwingine hupelekea vifo na vidonda

Related Posts:

  • KUTOTORESHA VIFARANGA Habari za wakati huu wafuatiliaje wa machapisho yetu.Leo tutatazamia njia kuu mbili za kutotoresha mayai ya kuku wa kienyeji,njia hizo ni kumuacha kuku kutotoa mwenyewe na kumuwekea mazingira.njia ya pili ni kwa kutumia mash… Read More
  • RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani. Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratib… Read More
  • DALILI ZA JUMLA ZA KUKU Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana na vifo ambavyo huchangiwa na mago… Read More
  • NENO LA USHAWISHINENO LA USHAWISHI.......JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni vi… Read More
  • JE WAJUA RATIBA YA CHANYO YA KUKU ASILIA/BROILERS??soma hapaaa HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA 1.     SIKU 1.  Baada ya vifaranga kutotoreshwa wenye siku moja,vifranga wapewe glucose kwa muda wa masaa 2.Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa… Read More

5 comments:

  1. Asanteni kwa mafunzo yenu mazur

    ReplyDelete
  2. karibu sana ni furaha yetu kuelimisha!

    ReplyDelete
  3. Nashukuru kwa mafunzo mazuri. Embu jaribu kuangalia uzito uliosema kuku chotara anakuwa nao akifikisha miezi 5. Uzito huo ni mdogo mno mno chotara wa miezi 5 hata kilo 3.5 anaweza kufikisha kwa jogoo

    ReplyDelete

watembeleaji

A visitor from Terre haute viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 10 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 10 hrs ago
A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 1 day 18 hrs ago
A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 2 days 9 hrs ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 2 days 14 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 3 days 15 hrs ago
A visitor from Gauteng viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 4 days 10 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 6 days 10 hrs ago
A visitor from Nuremberg viewed '2015 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 1 hr ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 9 days 8 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>