Saturday, 27 February 2016

HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA
1.     SIKU 1.
 Baada ya vifaranga kutotoreshwa wenye siku moja,vifranga wapewe glucose kwa muda wa masaa 2.Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa.baada ya hapo vifaranga wapewe vitamin mfano ni CHAMPRIX.Pia hii huchanganywa na maji.vifaranga wawe katika eneo lenye joto na safi. Baada ya hapo siku ya pili na kuendelea vifanga wapewe OTC plus(kijiko kimoja cha chai katika lita 5 za maji safi,pia changanya vitamin.

2.       SIKU YA 7.
vifaranga wapatiwe chanjo ya NEWCASTLE (KIDELI).chanjo hii huchanganywa na maji safi katika eneo lenye kivuli kasha kupewa vifaranga kwa muda wa masaa mawili kisha toa maji hayo na kuyamwaga mbali na eneo ambalo kuku wengine wanaweza kuyafikia,au kuyachimbia.baada ya hapo vifaranga wapewe maji yenye vitamin

mfano wa vifaranga wenye wiki moja(siku saba).Hawa wamepata chanjo ya newcastle na kama utakavyoona katika video hapa chini vifaranga wamechangamka.

3.     SIKU YA 14.
Wapewe chanjo ya GUMBORO(IBD).chanjo hii pia huchanganywa katika maji na kupewe vifaranga kwa muda wa masaa mawili tu.baada ya hapo vifaranga wepewe vitamin.

4.     Siku ya 21.(wiki ya tatu)
Rudia chanjo ya Newcastle

5.     SIKU 28(mwezi)
Rudia chanjo ya GUMBORO IBD

6.     SIKU 35(mwezi 1 na wiki 1)
Kipindi hiki kuku wapewe vitamin ya kutosha.

7.     WIKI YA 6-8
KUKU wapatiwe kinga ya ndui (fowl pox).kinga hii sio rahisi kwa mfugaji asie na utaalam kuwapa kuku,tafta mtaalum kwa kazi hii au upate maeleze ya jinsi ya kuweka kinga hii.
8.    WIKI YA 8
Kuku wapatiwe dawa ya minyoo na baada ya hapo unaweza kurudia chanjo ya Newcastle

Related Posts:

  • jifunze kutengeneza chakula cha kuku,nguruwe,na ng'ombe kwa teknolojia ya hydroponics SEHEMU YA KWANZA Tumerahisisha zaidi maelezo na kuifanya iakisi mazingira harisi ya mfugaji wa kitanzania Hydroponic ni nini? Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila ku… Read More
  • SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU SIFA ZA BANDA BORA. Katika mazingira yetu ya kawaida kuku hutaga katika viota na kupumzika katika vivuli na kutumia mda mwingine kujitafutia chakula. Kuku hutumia muda wake mwingi katika kujitafutia chakula katika ardhi na … Read More
  • KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKEHabari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia.  Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi kulinganisha na kuku… Read More
  • PATA VIFARANGA CHOTARA,ANZA KUFUGA LEOHabari wapenzi wasomaji wetu,Leo napenda kuwaletea biashara ya vifaranga wa kuku chotara.Vifaranga wa mwezi mmoja wakiwa na chanjo kama 1.NEWCASTLE 2.GUMBORO 3. NDUI, Pia wanunuzi wa vifaranga watapewa semina fupi kabla ya k… Read More
  • TANZANIA YA KILIMO,VIJANA TURUDI MASHAMBANIHabari za wakati huu wapenzi wasomaji wetu,Leo ningependa kutoa mawazo yangu kuhusu suala la kilimo nchini. Tanzania ni nchi maskini,uchumi wa nchi hii unategemea zaidi kilimo.Kilimo huchangia asilimia 50 ya pato la ndani la … Read More

2 comments:

  1. ni maelekezo mazuri, lkn nataka kujua kwa nini vifaranga wanapatwa ugonjwa wa ndui wakiwa na wiki1 au 2, wakati ratiba yako inaonesha wapewe wiki ya 6-8?.

    ReplyDelete

watembeleaji

A visitor from Dar es salaam viewed 'magonjwa ya kuku na j***i ya kuyadhibiti ~ fahamu ' 8 hrs 45 mins ago
A visitor from Tanga viewed 'KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKE ~ fahamu uleaji wa kuku' 12 hrs 55 mins ago
A visitor from Gatchina viewed 'Dalili za jumla za magonjwa ya kuku...soma hapa ku' 1 day 2 hrs ago
A visitor from Virginia viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 6 hrs ago
A visitor from California viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 6 hrs ago
A visitor from Iowa viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 1 day 6 hrs ago
A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 2 days 1 hr ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'NJIA ASILIA ZA KUTIBU KUKU ~ fahamu uleaji wa kuku' 2 days 15 hrs ago
A visitor from Terre haute viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 10 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed '2017 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 10 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>