Wednesday, 26 October 2016

Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani.

Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratiba hii ya chakula

Chick starter kwa muda wa miezi miwili(2)
Grower Mash kwa muda wa miezi miwili na nusu(2.5)
Layers mwezi mmoja na kuendelea.

Ili kuku wafugwe kwaajili ya nyama fuata ratiba hii ya chakula

Broiler starter-mwezi mmoja(1)
Grower Mash-Mwezi mmoja(1) 
Broiler Finisher-Mwezi mmoja(1)

Ili kuku wafugwe na kutaga mayai kwaajili kutotolesha fuata ratiba hii ya chakula

Chick Starter-miezi miwili(2)
Grower mash-miezi miwili na nusu(2.5)
Breeders mash-mwezi mmoja na kuendelea.hakikisha majogoo wanapunguzwa na kubaki na uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea kumi(1:10)

Ratiba hii ni kwa ufugaji wa kibiashara lakin mfugaji anaweza kuwafuga kuku hawa kwa mfumo wa nusu huria yaani kuku akaachiwa ajitaftie chakula na kisha atapewa chakula na mfugaji.Pia kuku hawa huweza kufugwa huriaa yaani akaachwa kujitaftia chakula chake.

picha hapo juu ni vifaranga wa wiki moja baada ya kulishwa chick starter.

Related Posts:

  • NENO LA USHAWISHINENO LA USHAWISHI.......JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni vi… Read More
  • AINA ZA KUKU WA KIENYEJIHabari ndugu wasomaji wetu,leo tutachambua aina kadhaa za kuku wa kienyeji.Duniani kuna aina karibia 300 za kuku.katika toleo hili tutatazamia aina&nb… Read More
  • JE WAJUA RATIBA YA CHANYO YA KUKU ASILIA/BROILERS??soma hapaaa HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA 1.     SIKU 1.  Baada ya vifaranga kutotoreshwa wenye siku moja,vifranga wapewe glucose kwa muda wa masaa 2.Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa… Read More
  • NJIA ASILIA ZA KUTIBU KUKU ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.katika chapisho hili tutaangalia njia za asilia za kutibu kuku kwa kutumia shubiri mwitu na majani ya mpapai. SHUBIRI MWITU NA JINSI YA KUIANDAA Tafta majani kadhaa ya shubiri mwitu… Read More
  • KUTOTORESHA VIFARANGA Habari za wakati huu wafuatiliaje wa machapisho yetu.Leo tutatazamia njia kuu mbili za kutotoresha mayai ya kuku wa kienyeji,njia hizo ni kumuacha kuku kutotoa mwenyewe na kumuwekea mazingira.njia ya pili ni kwa kutumia mash… Read More

9 comments:

  1. Je Hawa kuku chotara ni sahihi kuwaacha mchana nje ya banda ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni sahihi kabisa lakini hakikisha ulizi upo ili kuepusha kuibiwa kwa kuku wako,kuku hawa ukiwaacha nje wanaweza kujitafia chakula

      Delete
  2. ni sahihi kabisa hakikisha ulinzi upo kaika eneo hilo ili kuepusha wizi wa kuku wako.

    ReplyDelete
  3. Nahitaji elimu zaid kuhusu ufugaji wa kuku

    ReplyDelete
  4. Kuna effect gani ukiwapa chotara broiler starter?

    ReplyDelete
  5. Kuku mmoja anakula kiasi gani kwa siku kroila

    ReplyDelete

watembeleaji

A visitor from Yekaterinburg viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 4 hrs ago
A visitor from Mwanza viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 19 hrs 11 mins ago
A visitor from Rostov-on-don viewed 'RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA ' 1 day ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 2 days 1 hr ago
A visitor from Gauteng viewed 'JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa ~ fa' 2 days 19 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 4 days 19 hrs ago
A visitor from Nuremberg viewed '2015 ~ fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 5 days 11 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 7 days 17 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'fahamu uleaji wa kuku wa kienyeji' 8 days 14 hrs ago
A visitor from Dar es salaam viewed 'sifa za mayai bora kwaaajili ya kutotolesha katika' 9 days 2 hrs ago

Sample Text

Powered by Blogger.

Pages

watembeleaji wa mtandao wetu

Popular Posts

kukutajiri on facebook

fuatilia makala zetu kupitia facebook kupitia ukurasa wetu wenye jina la hapo juu
//]]>