Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani.
Ili kuku wafugwe kwaajili ya mayai fuata ratiba hii ya chakula
Chick starter kwa muda wa miezi miwili(2) Grower Mash kwa muda wa miezi miwili na nusu(2.5) Layers mwezi mmoja na kuendelea.
Ili kuku wafugwe kwaajili ya nyama fuata ratiba hii ya chakula
Ili kuku wafugwe na kutaga mayai kwaajili kutotolesha fuata ratiba hii ya chakula
Chick Starter-miezi miwili(2) Grower mash-miezi miwili na nusu(2.5) Breeders mash-mwezi mmoja na kuendelea.hakikisha majogoo wanapunguzwa na kubaki na uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea kumi(1:10)
Ratiba hii ni kwa ufugaji wa kibiashara lakin mfugaji anaweza kuwafuga kuku hawa kwa mfumo wa nusu huria yaani kuku akaachiwa ajitaftie chakula na kisha atapewa chakula na mfugaji.Pia kuku hawa huweza kufugwa huriaa yaani akaachwa kujitaftia chakula chake.
picha hapo juu ni vifaranga wa wiki moja baada ya kulishwa chick starter.
PATA VIFARANGA CHOTARA,ANZA KUFUGA LEOHabari wapenzi wasomaji wetu,Leo napenda kuwaletea biashara ya vifaranga wa kuku chotara.Vifaranga wa mwezi mmoja wakiwa na chanjo kama
1.NEWCASTLE
2.GUMBORO
3. NDUI,
Pia wanunuzi wa vifaranga watapewa semina fupi kabla ya k…Read More
JE WAJUA,JINSI YA KULEA VIFARANGA?..soma hapa
habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga.zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga.
1.MAANDALIZI YA BANDA
banda ni jambo la kwanza…Read More
KUKU CHOTARA NA TABIA ZAKEHabari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia.
Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi kulinganisha na kuku…Read More
TANZANIA YA KILIMO,VIJANA TURUDI MASHAMBANIHabari za wakati huu wapenzi wasomaji wetu,Leo ningependa kutoa mawazo yangu kuhusu suala la kilimo nchini.
Tanzania ni nchi maskini,uchumi wa nchi hii unategemea zaidi kilimo.Kilimo huchangia asilimia 50 ya pato la ndani la …Read More
Imenisaidia sana
ReplyDeleteJe Hawa kuku chotara ni sahihi kuwaacha mchana nje ya banda ?
ReplyDeleteni sahihi kabisa lakini hakikisha ulizi upo ili kuepusha kuibiwa kwa kuku wako,kuku hawa ukiwaacha nje wanaweza kujitafia chakula
Deleteni sahihi kabisa hakikisha ulinzi upo kaika eneo hilo ili kuepusha wizi wa kuku wako.
ReplyDeleteNahitaji elimu zaid kuhusu ufugaji wa kuku
ReplyDeletegood lesson
ReplyDeleteKuna effect gani ukiwapa chotara broiler starter?
ReplyDeleteKuku mmoja anakula kiasi gani kwa siku kroila
ReplyDeleteNi darasa zuri
ReplyDelete